sw_2sa_text_reg/01/01.txt

1 line
293 B
Plaintext

\c 1 \v 1 Baada ya kifo cha Sauli, Daudi alirudi kutoka kuwashambulia Waamaleki na akakaa Siklagi kwa siku mbili. \v 2 Siku ya tatu, mtu mmoja alikuja kutoka kambi ya Sauli nguo zake zikiwa zimeraruliwa na akiwa na vumbi juu ya kichwa chake. Alipofika kwa Daudi akaanguka chini na akamsujudia.