\v 4 Daudi akatuma wajumbe nao wakamchukua; akaja kwake, na akalala naye(kwani ndo alikuwa amejitakasa kutoka siku zake). Kisha akarudi nyumbani kwake. \v 5 Mwanamke akawa mjamzito, naye akatuma na kumwambia Daudi; akasema, "mimi ni mjamzito."