\v 28 Unaokoa walioteswa, lakini macho yako ni kinyume cha wenye kiburi, na unawashusha chini. \v 29 Kwa maana wewe ni taa yangu, Yahwe. Yahwe huangaza katika giza langu.