\v 5 Maana mawimbi ya mauti yalinizunguka, mafuriko ya maji ya uharibifu yakanishinda. \v 6 Vifungo vya kuzimu vilinizunguka; kamba za mauti zikaninasa.