diff --git a/06/16.txt b/06/16.txt index fdbdb25..d570752 100644 --- a/06/16.txt +++ b/06/16.txt @@ -1 +1 @@ -\v 16 Hata ikawa sanduku la Yahwe lilipofika mjini mwa Daudi, Mikali, binti Sauli, alichungulia dirishani. Akamwona mfalme Daudi akiruka na kucheza mbele ya Yahwe. Akamdharau moyoni mwake. \v 17 Wakaliingiza sanduku la Yahwe na kuliweka mahali pake, katikati ya hema ambayo Daudi alikuwa ameliwekea. Kisha Daudi akatoa sadaka ya kuteketezwa na matoleo ya amani mbele za Yahwe. \ No newline at end of file +\v 16 Hata ikawa sanduku la Yahwe lilipofika mjini mwa Daudi, Mikali, binti Sauli, alichungulia dirishani. Akamuona mfalme Daudi akiruka na kucheza mbele ya Yahwe. Akamdharau moyoni mwake. \v 17 Wakaliingiza sanduku la Yahwe na kuliweka mahali pake, katikati ya hema ambayo Daudi alikuwa ameliwekea. Kisha Daudi akatoa sadaka ya kuteketezwa na matoleo ya amani mbele za Yahwe. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 678b65a..82bcf04 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -108,6 +108,7 @@ "06-08", "06-10", "06-12", - "06-14" + "06-14", + "06-16" ] } \ No newline at end of file