Thu Oct 20 2022 11:30:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 11:30:11 +03:00
parent 58019c6c7c
commit f738f4af25
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 19 Shimei akamwambia mfalme, "Bwana wangu asinione mwenye hatia au kuyaweka moyoni ambayo mtumishi wake alifanya kwa ukaidi siku bwana wangu mfalme alipoondoka Yerusalemu. Tafadhari, mfalme na asiyaweke moyoni. \v 20 Kwa maana mtumishi wako anatambua kwamba amekosa. Tazama, ndiyo maana nimekuja leo wa kwanza katika nyumba ya Yusufu ili kumlaki bwana wangu mfalme."
\v 19 Shimei akamwambia mfalme, "Bwana wangu asinione mwenye hatia au kuyaweka moyoni ambayo mtumishi wake alifanya kwa ukaidi siku bwana wangu mfalme alipoondoka Yerusalemu. Tafadhali, mfalme na asiyaweke moyoni. \v 20 Kwa maana mtumishi wako anatambua kwamba amekosa. Tazama, ndiyo maana nimekuja leo wa kwanza katika nyumba ya Yusufu ili kumlaki bwana wangu mfalme."

View File

@ -275,6 +275,8 @@
"19-07",
"19-09",
"19-11",
"19-13"
"19-13",
"19-16",
"19-19"
]
}