Thu Oct 20 2022 12:10:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 12:10:11 +03:00
parent dfced58761
commit f2caf3ab24
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Hivyo Yoabu akakaribia, mwanamke akamwambia, "Je wewe ni Yoabu? Akajibu, "ni mimi." mwanamke akamwambia, "Sikiliza maneno ya mtumishi wako." Akajibu, "Nasikiliza." \v 18 Ndipo aliposema,"Hapo zamani ilisemwa, 'Bila shaka tafuteni ushauri huko Abeli,' na kwamba ushauri huo utakata maneno. \v 19 Sisi ni mji ulio miongoni mwa miji yenye nguvu na aminifu sana katika Israeli. Mnataka kuharibu mji ambao ni mama katika Israeli. Kwa nini unataka kuumeza urithi wa Yahwe?"
\v 17 Hivyo Yoabu akakaribia, mwanamke akamwambia, "Je wewe ni Yoabu? Akajibu, "ni mimi." mwanamke akamwambia, "Sikiliza maneno ya mtumishi wako." Akajibu, "Nasikiliza." \v 18 Ndipo aliposema,"Hapo zamani ilisemwa, 'Bila shaka tafuteni ushauri huko Abeli,' na kwamba ushauri huo utamaliza maneno. \v 19 Sisi ni mji ulio miongoni mwa miji yenye nguvu na aminifu sana katika Israeli. Mnataka kuharibu mji ambao ni mama katika Israeli. Kwa nini unataka kuumeza urithi wa Yahwe?"