Wed Oct 19 2022 09:13:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 09:13:10 +03:00
parent e72abd0499
commit f2b8485f94
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 32 Yehonadabu mwana wa Shama, nduguye Daudi, akajibu na kusema, "Bwana wangu asidhani kuwa vijana wote ambao ni wana wa mfalme wameuawa, kwa maana ni Amnoni pekee ndiye aliyeuawa. Absalomu alilipanga jambo hili tangu siku ile Amnoni alivyomuaribu Tamari, dada yake. \v 33 Kwa hiyo basi, bwana wangu mfalme asiiweke taarifa hii moyoni, kudhani kwamba wana wote wa mfalme wameuawa, kwani aliyeuawa ni Amnoni peke yake."
\v 32 Yehonadabu mwana wa Shama, nduguye Daudi, akajibu na kusema, "Bwana wangu asidhani kuwa vijana wote ambao ni wana wa mfalme wameuawa, kwa maana ni Amnoni pekee ndiye aliyeuawa. Absalomu alilipanga jambo hili tangu siku ile Amnoni alivyomdhulumu Tamari, dada yake. \v 33 Kwa hiyo basi, bwana wangu mfalme asiiweke taarifa hii moyoni, kudhani kwamba wana wote wa mfalme wameuawa, kwani aliyeuawa ni Amnoni peke yake."