Thu Oct 20 2022 10:51:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 10:51:28 +03:00
parent d5a4076ad2
commit e58791c230
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Ndipo Yoabu akamwambia Mkushi, "Nenda umwambia mfalme ulichokiona." Mkushi akamwinamia Yoabu, na kisha akakimbia. \v 22 Kisha tena, Ahimaasi mwana wa Sadoki akamwambia Yoabu, "Pamoja na yote yanayoweza kutokea, tafadhari niruhusu nami pia niende nimfuate Mkushi." Yoabu akajibu, "Mwanangu kwa nini unataka kwenda, hautapata thawabu yoyote kwa ajili ya habari hii?" \v 23 "Vyovyote itakavyokuwa niache niende," Ahimaasi alijibu. Hivyo Yoabu akamjibu, "Nenda." Ndipo Ahimaasi akakimbia kwa njia ya tambarare na akampita Mkushi.
\v 21 Ndipo Yoabu akamwambia Mkushi, "Nenda umwambia mfalme ulichokiona." Mkushi akamuinamia Yoabu, na kisha akakimbia. \v 22 Kisha tena, Ahimaasi mwana wa Sadoki akamwambia Yoabu, "Pamoja na yote yanayoweza kutokea, tafadhali niruhusu nami pia niende nimfuate Mkushi." Yoabu akajibu, "Mwanangu kwa nini unataka kwenda, hautapata thawabu yoyote kwa ajili ya habari hii?" \v 23 "Vyovyote itakavyokuwa niache niende," Ahimaasi alijibu. Hivyo Yoabu akamjibu, "Nenda." Ndipo Ahimaasi akakimbia kwa njia ya tambarare na akampita Mkushi.

View File

@ -262,6 +262,7 @@
"18-14",
"18-16",
"18-18",
"18-19"
"18-19",
"18-21"
]
}