Thu Oct 20 2022 12:38:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 12:38:11 +03:00
parent 09fbc2ca61
commit e4f80596b2
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 15 Kisha Wafilisti wakaenda tena katika vita na Israeli. Hivyo Daudi na jeshi lake wakashuka na kupigana na Wafilisti. Akiwa vitani Daudi akachoshwa na vita. \v 16 Ishbibenobu, wa uzao wa majitu, ambaye mkuki wake wa shaba ulikuwa na uzito wa shekeli mia tatu na alikuwa na upanga mpya, alitaka kumuua Daudi. \v 17 Lakini Abishai mwana wa Seruya akamuokoa Daudi, akampiga Mfilisti na kumuua. Ndipo watu wa Daudi wakamuapia, kusema, "Hautakwenda vitani pamoja nasi tena usije ukaizima taa ya Israeli."
\v 15 Kisha Wafilisti wakaenda tena katika vita na Israeli. Hivyo Daudi na jeshi lake wakashuka na kupigana na Wafilisti. Akiwa vitani Daudi akachoshwa na vita. \v 16 Ishbibenobu, wa uzao wa Warefai, ambaye mkuki wake wa shaba ulikuwa na uzito wa shekeli mia tatu na alikuwa na upanga mpya, alitaka kumuua Daudi. \v 17 Lakini Abishai mwana wa Seruya akamuokoa Daudi, akampiga Mfilisti na kumuua. Ndipo watu wa Daudi wakamuapia, kusema, "Hautakwenda vitani pamoja nasi tena usije ukaizima taa ya Israeli."

View File

@ -1 +1 @@
\v 18 Ikawa baadaye kuwa na vita tena kati ya Wafilisti huko Gobu, wakati Sibekai Mhushathi alipomwua Safu, aliyekuwa miongoni mwa uzao wa Warefai. \v 19 Ikawa tena katika vita na Wafilisti huko Gobu, huyo Elhanani mwana wa Jari Mbethlehemu akamwua Goliathi Mgiti, ambaye fumo la mkuki wake lilikuwa kama mti wa mfumaji.
\v 18 Ikawa baadaye kuwa na vita tena kati ya Wafilisti huko Gobu, wakati Sibekai Mhushathi alipomuua Safu, aliyekuwa miongoni mwa uzao wa Warefai. \v 19 Ikawa tena katika vita na Wafilisti huko Gobu, huyo Elhanani mwana wa Jari Mbethlehemu akamwua Goliathi Mgiti, ambaye fumo la mkuki wake lilikuwa kama mti wa mfumaji.

View File

@ -308,6 +308,7 @@
"21-07",
"21-10",
"21-12",
"21-14"
"21-14",
"21-15"
]
}