Thu Oct 20 2022 12:08:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 12:08:11 +03:00
parent 285fe6f92b
commit dfced58761
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 14 Sheba akazipita kabila zote za Israeli mpaka Abeli wa Beth Maaka, na katika nchi yote ya Berite ambao pia walijikusanya pamoja pia na kumfuatia Sheba. \v 15 Walimpata na kumzingira huko Abeli wa Bethi Maaka. Wakajenga buruji ya kuhusuru mji nyuma ya ukuta. Jeshi lote lilokuwa pamoja na Yoabu likaugongagonga ukuta ili uanguke. \v 16 Ndipo mwanamke mwerevu akapiga kelele kutoka ndani ya mji, "Sikiliza, Yoabu, tafadhari sikiliza! Sogea karibu nami ili niongee nawe."
\v 14 Sheba akazipita kabila zote za Israeli mpaka Abeli wa Beth Maaka, na katika nchi yote ya Berite ambao pia walijikusanya pamoja pia na kumfuatia Sheba. \v 15 Walimpata na kumzingira huko Abeli wa Bethi Maaka. Wakajenga buruji ya kuhusuru mji nyuma ya ukuta. Jeshi lote lililokuwa pamoja na Yoabu likaugongagonga ukuta ili uanguke. \v 16 Ndipo mwanamke mwerevu akapiga kelele kutoka ndani ya mji, "Sikiliza, Yoabu, tafadhali sikiliza! Sogea karibu nami ili niongee nawe."

View File

@ -295,6 +295,7 @@
"20-06",
"20-08",
"20-09",
"20-11"
"20-11",
"20-14"
]
}