Thu Oct 20 2022 10:39:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 10:39:28 +03:00
parent a4ce074139
commit d7ee4b4e9c
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Ikatukia kwamba Absalomu akakutana na askari wa Daudi. Absalomu alikuwa amepanda juu ya nyumbu wake na nyumbu akapita chini ya matawi manene ya mti wa mwaloni, na kichwa chake kikanaswa katika matawi ya mti. Akaachwa akining'inia kati ya nchi na anga wakati nyumbu alipoendelea mbele. \v 10 Mtu mmoja akaona lililotukia na akamwambia Yoabu, "Tazama, nilimwona Absalomu akining'inia katika mwaloni!" \v 11 Yoabu akamwambia aliyemwambia kuhusu Absalomu, "Tazama! Ulimwona! Kwa nini haukumpiga hata chini. Ningekupa shekeli kumi za fedha na mkanda."
\v 9 Ikatukia kwamba Absalomu akakutana na askari wa Daudi. Absalomu alikuwa amepanda juu ya nyumbu wake na nyumbu akapita chini ya matawi manene ya mti wa mwaloni, na kichwa chake kikanaswa katika matawi ya mti. Akaachwa akining'inia kati ya nchi na anga wakati nyumbu alipoendelea mbele. \v 10 Mtu mmoja akaona lililotukia na akamwambia Yoabu, "Tazama, nilimuona Absalomu akining'inia katika mwaloni!" \v 11 Yoabu akamwambia aliyemwambia kuhusu Absalomu, "Tazama! Ulimuona! Kwa nini haukumpiga hata chini. Ningekupa shekeli kumi za fedha na mkanda."

View File

@ -256,6 +256,7 @@
"18-01",
"18-03",
"18-05",
"18-06"
"18-06",
"18-09"
]
}