diff --git a/15/13.txt b/15/13.txt index e723aab..1cf2c13 100644 --- a/15/13.txt +++ b/15/13.txt @@ -1 +1 @@ -\v 13 Mjumbe akaja kwa Daudi na kusema, "Mioyo ya watu wa Israeli inaambatana na Absalomu." \v 14 Hivyo Daudi akawambia watumishi wake waliokuwa pamoja naye huko Yerusalemu, "Haya na tuinuke na kukimbia kwani hakuna hata mmoja atakayesalimika kwa Absalomu. Jiandaeni kuondoka mara moja asije akatupata mara hata akasababisha madhara juu yetu na kuushambulia mji kwa makali ya upanga." \v 15 Watumishi wa mfalme wakamwambia, "Tazama, watumishi wako wapo tiyari kufanya lolote bwana wetu mfalme atakaloamua. \ No newline at end of file +\v 13 Mjumbe akaja kwa Daudi na kusema, "Mioyo ya watu wa Israeli inaambatana na Absalomu." \v 14 Hivyo Daudi akawaambia watumishi wake waliokuwa pamoja naye huko Yerusalemu, "Haya na tuinuke na kukimbia kwani hakuna hata mmoja atakayesalimika kwa Absalomu. Jiandaeni kuondoka mara moja asije akatupata mara hata akasababisha madhara juu yetu na kuushambulia mji kwa makali ya upanga." \v 15 Watumishi wa mfalme wakamwambia, "Tazama, watumishi wako wapo tiyari kufanya lolote bwana wetu mfalme atakaloamua. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index cbd549b..c49d667 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -216,6 +216,7 @@ "15-03", "15-05", "15-07", - "15-09" + "15-09", + "15-11" ] } \ No newline at end of file