From c6c1f50f0860412bdc8e35ec1c00cd6be59df8f3 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Wed, 19 Oct 2022 07:41:10 +0300 Subject: [PATCH] Wed Oct 19 2022 07:41:09 GMT+0300 (East Africa Time) --- 12/19.txt | 2 +- manifest.json | 3 ++- 2 files changed, 3 insertions(+), 2 deletions(-) diff --git a/12/19.txt b/12/19.txt index 5ae7789..09eb451 100644 --- a/12/19.txt +++ b/12/19.txt @@ -1 +1 @@ -\v 19 Daudi alipoona kwamba watumishi wake walikuwa wakinong'onezana, Akatambua kwamba mtoto amekufa. Akawauliza, "Je mtoto amekufa?" Wakajibu, "Amekufa." \v 20 Kisha Daudi akainuka kutoka sakafuni naye akaoga, akajipaka mafuta, na kubadili mavazi yake. Akaenda katika hema la kukutania na akaabudu pale, kisha akarudu katika kasri lake. Akataka chakula kiletwe, wakamwandalia, naye akala. \ No newline at end of file +\v 19 Daudi alipoona kwamba watumishi wake walikuwa wakinong'onezana, Akatambua kwamba mtoto amekufa. Akawauliza, "Je mtoto amekufa?" Wakajibu, "Amekufa." \v 20 Kisha Daudi akainuka kutoka sakafuni naye akaoga, akajipaka mafuta, na kubadili mavazi yake. Akaenda katika hema la kukutania na akaabudu pale, kisha akarudi katika kasri lake. Akataka chakula kiletwe, wakamwandalia, naye akala. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 2b8c18d..22d1582 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -171,6 +171,7 @@ "12-07", "12-09", "12-11", - "12-14" + "12-14", + "12-16" ] } \ No newline at end of file