From c5d47e6b2e7c9415057836de21ef5618ff1b362a Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Wed, 19 Oct 2022 11:02:02 +0300 Subject: [PATCH] Wed Oct 19 2022 11:02:01 GMT+0300 (East Africa Time) --- 14/25.txt | 2 +- 1 file changed, 1 insertion(+), 1 deletion(-) diff --git a/14/25.txt b/14/25.txt index f055762..e3ffdf8 100644 --- a/14/25.txt +++ b/14/25.txt @@ -1 +1 @@ -\v 25 Hakukuwa na mtu katika Israeli aliyesifiwa kwa uzuri kama Absalomu. Kutoka katika wayo wa mguu wake hadi katika utosi wake hakuwa na waa lolote. \v 26 Alipokata nywele za kichwa chake mwishoni mwa kila mwaka, kwa sababu zilikuwa nzito juu yake, alipima nywele zake zaidi ya shekeli mia mbili, kwa kiwango cha kipimo cha mfalme. \v 27 Kwake Absalomu walizaliwa wana watatu na binti mmoja, jina lake Tamari. Alikuwa mwanamke mzuri. \ No newline at end of file +\v 25 Hakukuwa na mtu katika Israeli aliyesifiwa kwa urembo wake kama Absalomu. Kutoka katika wayo wa mguu wake hadi katika utosi wake hakuwa na waa lolote. \v 26 Alipokata nywele za kichwa chake mwishoni mwa kila mwaka, kwa sababu zilikuwa nzito juu yake, alipima nywele zake zaidi ya shekeli mia mbili, kwa kiwango cha kipimo cha mfalme. \v 27 Kwake Absalomu walizaliwa wana watatu na binti mmoja, jina lake Tamari. Alikuwa mwanamke mzuri. \ No newline at end of file