Tue Oct 18 2022 18:43:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-18 18:43:45 +03:00
parent fc9519ab08
commit c1a0458437
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Na wapiga mishale wao wakawarushia watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watumishi wa mfalme wameuawa, na mtumishi wako Uria mhiti pia ameuawa." \v 25 Kisha Daudi akamwambia mjumbe, "Mwambie hivi Yoabu, 'Usiruhusu jamba hili likuhuzunishe, kwa maana upanga huangamiza huyu kama uangamizavyo na mwingine. Vifanye vita vyako kuwa vyenye nguvu zaidi dhidi ya mji, na uuteke.' Mtie moyo Yoabu."
\v 24 Na wapiga mishale wao wakawarushia watumishi wako kutoka ukutani, na baadhi ya watumishi wa mfalme wameuawa, na mtumishi wako Uria mhiti pia ameuawa." \v 25 Kisha Daudi akamwambia mjumbe, "Mwambie hivi Yoabu, 'Usiruhusu jambo hili likuhuzunishe, kwa maana upanga huangamiza huyu kama uangamizavyo na mwingine. Vifanye vita vyako kuwa vyenye nguvu zaidi dhidi ya mji, na uuteke.' Mtie moyo Yoabu."

View File

@ -161,6 +161,7 @@
"11-14",
"11-16",
"11-18",
"11-21"
"11-21",
"11-22"
]
}