Wed Oct 19 2022 12:23:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 12:23:48 +03:00
parent d4d3be1804
commit baf94bcd24
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Walikuwepo pia Sadoki pamoja na Walawi wote wamebeba sanduku la Mungu la agano. Wakaliweka sanduku la Mungu chini na kisha Abiathari akaungana nao. Wakasubiri mpaka watu wote wakapita kutoka mjini. \v 25 Mfalme akamwambia Sadoki, "Ulirudishe sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitaona neema machoni pa Yahwe atanirudisha na kunionesha tena sanduku na mahali likaapo. \v 26 Lakini ikiwa atasema, sipendezwi nawe,' tazama mimi nipo hapa, na anitendee yaliyo mema machoni pake."
\v 24 Walikuwepo pia Sadoki pamoja na Walawi wote wamebeba sanduku la Mungu la agano. Wakaliweka sanduku la Mungu chini na kisha Abiathari akaungana nao. Wakasubiri mpaka watu wote wakapita kutoka mjini. \v 25 Mfalme akamwambia Sadoki, "Ulirudishe sanduku la Mungu mjini. Ikiwa nitaona neema machoni pa Yahwe atanirudisha na kunionyesha tena sanduku na mahali likaapo. \v 26 Lakini ikiwa atasema, sipendezwi nawe,' tazama mimi nipo hapa, na anitendee yaliyo mema machoni pake."

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Pia mfalme akamwambia Sadoki kuhani, "Je wewe siyo mwonaji? Rudi mjini kwa amani na wanao wawili, Ahimaazi mwanao na Yonathani mwana wa Abiathari. \v 28 Tazama nitasubiri katika vivuko vya Araba mpaka nitakapo pata neno kutoka kwenu kunitaarifu." \v 29 Hivyo Sadoki na Abiathari wakalirudish sanduku la Mungu Yerusalemu nao wakakaa humo.
\v 27 Pia mfalme akamwambia Sadoki kuhani, "Je wewe siyo mwonaji? Rudi mjini kwa amani na wanao wawili, Ahimaazi mwanao na Yonathani mwana wa Abiathari. \v 28 Tazama nitasubiri katika vivuko vya Araba mpaka nitakapo pata neno kutoka kwenu kunitaarifu." \v 29 Hivyo Sadoki na Abiathari wakalirudisha sanduku la Mungu Yerusalemu nao wakakaa humo.

View File

@ -221,6 +221,7 @@
"15-13",
"15-16",
"15-19",
"15-21"
"15-21",
"15-24"
]
}