Tue Oct 18 2022 18:49:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-18 18:49:45 +03:00
parent d1d5a392ec
commit ad19eedb89
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Siku moja tajiri akapata mgeni, lakini yeye hakuwa tiyari kuchukua mnyama kutoka katika kundi lake la ng'ombe au kundi la kondoo ili kumwandalia chakula. Badala yake alichukua mwanakondoo wa masikini na akampika kwa ajili ya mgeni wake. \v 5 Hasira ya Daudi ikawaka dhidi ya tajiri yule, naye akamwambia Nathani kwa hasira, "Kama Yahwe aishivyo, mtu aliyelitenda jambo hili anastahili kufa. \v 6 Ni lazima alipe mwanakondoo mara nne zaidi kwa ajili ya kile alichokifanya, na kwa sababu hakuwa na huruma kwa mtu maskini.
\v 4 Siku mojamgeni, lakini yeye hakuwa tiyari kuchukua mnyama kutoka katika kundi lake la ng'ombe au kundi la kondoo ili kumwandalia chakula. Badala yake alichukua mwanakondoo wa masikini na akampika kwa ajili ya mgeni wake. \v 5 Hasira ya Daudi ikawaka dhidi ya tajiri yule, naye akamwambia Nathani kwa hasira, "Kama Yahwe aishivyo, mtu aliyelitenda jambo hili anastahili kufa. \v 6 Ni lazima alipe mwanakondoo mara nne zaidi kwa ajili ya kile alichokifanya, na kwa sababu hakuwa na huruma kwa mtu maskini.

View File

@ -165,6 +165,7 @@
"11-22",
"11-24",
"11-26",
"12-title"
"12-title",
"12-01"
]
}