Tue Oct 18 2022 12:13:34 GMT+0300 (East Africa Time)
This commit is contained in:
parent
29b3f55c8d
commit
a4b27cddfb
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 6 Ikawa wakati wa vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi Abneri akajifanya mwenye nguvu katika nyumba ya Sauli. \v 7 Sauli alikuwa na suria jina lake Rispa, binti Aiya. Ishboshethi akamuuliza Abneri, "Kwa nini umeingia kwa suria wa baba yangu?"
|
||||
\v 6 Ikawa wakati wa vita kati ya nyumba ya Sauli na nyumba ya Daudi Abneri akajifanya mwenye nguvu katika nyumba ya Sauli. \v 7 Sauli alikuwa na suria jina lake Rispa, binti Aiya. Ishboshethi akamuuliza Abneri, "Kwa nini umeingia kwa suria ya baba yangu?"
|
|
@ -1 +1 @@
|
|||
\v 8 Hata ikawa Abneri akakasirika sana kutokana na maneno ya Ishboshethi naye akasema, "Je mimi ni kichwa cha mbwa wa Yuda? Ninaonesha uaminifu kwa nyumba ya Sauli, baba yako, kwa jamaa yake, na rafiki zake, kwa kutokukuweka katika mkono wa Daudi. Na bado leo unanishutumu kuhusu mwanamke.
|
||||
\v 8 Hata ikawa Abneri akakasirika sana kutokana na maneno ya Ishboshethi naye akasema, "Je mimi ni kichwa cha mbwa wa Yuda? Ninaonyesha uaminifu kwa nyumba ya Sauli, baba yako, kwa jamaa yake, na rafiki zake, kwa kutokukuweka katika mkono wa Daudi. Na bado leo unanishutumu kuhusu mwanamke.
|
|
@ -67,6 +67,7 @@
|
|||
"03-title",
|
||||
"03-01",
|
||||
"03-02",
|
||||
"03-04"
|
||||
"03-04",
|
||||
"03-06"
|
||||
]
|
||||
}
|
Loading…
Reference in New Issue