Wed Oct 19 2022 12:05:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 12:05:48 +03:00
parent ce2ccbbfef
commit a15bd4ffb6
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 13 Mjumbe akaja kwa Daudi na kusema, "Mioyo ya watu wa Israeli inaambatana na Absalomu." \v 14 Hivyo Daudi akawaambia watumishi wake waliokuwa pamoja naye huko Yerusalemu, "Haya na tuinuke na kukimbia kwani hakuna hata mmoja atakayesalimika kwa Absalomu. Jiandaeni kuondoka mara moja asije akatupata mara hata akasababisha madhara juu yetu na kuushambulia mji kwa makali ya upanga." \v 15 Watumishi wa mfalme wakamwambia, "Tazama, watumishi wako wapo tiyari kufanya lolote bwana wetu mfalme atakaloamua.
\v 13 Mjumbe akaja kwa Daudi na kusema, "Mioyo ya watu wa Israeli inaambatana na Absalomu." \v 14 Hivyo Daudi akawaambia watumishi wake waliokuwa pamoja naye huko Yerusalemu, "Haya na tuinuke na kukimbia kwani hakuna hata mmoja atakayeokoka kwa Absalomu. Jiandaeni kuondoka mara moja asije akatupata mara hata akasababisha madhara juu yetu na kuushambulia mji kwa makali ya upanga." \v 15 Watumishi wa mfalme wakamwambia, "Tazama, watumishi wako wapo tiyari kufanya lolote bwana wetu mfalme atakaloamua.