Thu Oct 20 2022 10:33:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 10:33:28 +03:00
parent de5d1506fb
commit a110b64904
3 changed files with 5 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 18 \v 1 Daudi akawahesabu askari waliokuwa pamoja naye na akaweka akida wa elfu na akida wa mia juu yao. \v 2 Kisha Daudi akalipeleka jeshi, theluthi moja chini ya Yoabu, theluthi nyingine chini ya Abishai mwana wa Seruya, ndugu wa Yoabu, na thelusi nyingine tena chini ya Itai Mgiti. Mfalme akaliambia jeshi, "kwa hakika mimi mwenyewe pia nitakwenda pamoja nanyi.
\c 18 \v 1 Daudi akawahesabu askari waliokuwa pamoja naye na akaweka akida wa elfu na akida wa mia juu yao. \v 2 Kisha Daudi akalipeleka jeshi, theluthi moja chini ya Yoabu, theluthi nyingine chini ya Abishai mwana wa Seruya, ndugu wa Yoabu, na theluthi nyingine tena chini ya Itai Mgiti. Mfalme akaliambia jeshi, "kwa hakika mimi mwenyewe pia nitakwenda pamoja nanyi.

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Lakini watu wakasema, "Wewe usiende vitani, kwani ikiwa tutakimbia hawatatujari sisi, ama nusu yetu wakifa hawatajari. Lakini wewe ni zaidi ya elfu kumi yetu sisi! Kwa hiyo ni afadhari zaidi ukitusaidia ukiwa mjini." \v 4 Hivyo mfalme akawajibu, "Nitafanya lolote lionekanalo jema machoni penu." Mfalme akasimama kati ya lango la mji wakati jeshi lilipoondoka katika mamia na katika maelfu.
\v 3 Lakini watu wakasema, "Wewe usiende vitani, kwani ikiwa tutakimbia hawatatujali sisi, ama nusu yetu wakifa hawatajali. Lakini wewe ni zaidi ya elfu kumi yetu sisi! Kwa hiyo ni afadhali zaidi ukitusaidia ukiwa mjini." \v 4 Hivyo mfalme akawajibu, "Nitafanya lolote lionekanalo jema machoni penu." Mfalme akasimama kati ya lango la mji wakati jeshi lilipoondoka katika mamia na katika maelfu.

View File

@ -252,6 +252,8 @@
"17-23",
"17-24",
"17-27",
"18-title"
"18-title",
"18-01",
"18-03"
]
}