Wed Oct 19 2022 11:49:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 11:49:48 +03:00
parent be6eec6814
commit 9bbaa5e99a
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 3 Hivyo Absalomu angemwambia, "Tazama, shitaka lako ni jema na la haki, lakini hakuna aliyepewa mamlaka na mfalme kusikiliza shitaka lako. \v 4 Absalomu uongeza, "Natamani kwamba ningefanywa mwamzi ndani ya nchi ili kwamba kila mtu aliye na shitaka angeweza kuja kwangu nami ningempa haki.
\v 3 Hivyo Absalomu angemwambia, "Tazama, shitaka lako ni jema na la haki, lakini hakuna aliyepewa mamlaka na mfalme kusikiliza shitaka lako. \v 4 Absalomu uongeza, "Natamani kwamba ningefanywa mwamuzi ndani ya nchi ili kwamba kila mtu aliye na shitaka angeweza kuja kwangu nami ningempa haki.

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Hivyo ikawa kila mtu aliyekuja kumweshimu Absalomu yeye hunyosha mkono na kumshika na kumbusu. \v 6 Absalomu alifanya hivi kwa Israeli wote waliokuja kwa mfalme kwa ajili ya hukumu. Hivyo Absalomu akaipotosha mioyo ya watu wa Israeli.
\v 5 Hivyo ikawa kila mtu aliyekuja kumheshimu Absalomu yeye hunyosha mkono na kumshika na kumbusu. \v 6 Absalomu alifanya hivi kwa Israeli wote waliokuja kwa mfalme kwa ajili ya hukumu. Hivyo Absalomu akaipotosha mioyo ya watu wa Israeli.

View File

@ -212,6 +212,7 @@
"14-30",
"14-32",
"15-title",
"15-01"
"15-01",
"15-03"
]
}