diff --git a/16/22.txt b/16/22.txt index d189b14..8441755 100644 --- a/16/22.txt +++ b/16/22.txt @@ -1 +1 @@ -\v 22 Hivyo wakatanda hema kwa ajili ya Absalomu juu ya kasri na Absalomu akalala na masuria wa baba yake mbele za Israeli wote. \v 23 Nyakati hizo ushauri aliokuwa akitoa Ahithofeli ulikuwa ni kama mtu anavyosikia kutoka katika kinywa cha Mungu mwenyewe. Hivyo ndivyo jinsi ushauri wa Ahithofeli ulivyoonekana kwa Daudi na Absalomu \ No newline at end of file +\v 22 Hivyo wakatanda hema kwa ajili ya Absalomu juu ya kasri na Absalomu akaingia kwa masuria wa baba yake mbele za Israeli wote. \v 23 Nyakati hizo ushauri aliokuwa akitoa Ahithofeli ulikuwa ni kama mtu anavyosikia kutoka katika kinywa cha Mungu mwenyewe. Hivyo ndivyo jinsi ushauri wa Ahithofeli ulivyoonekana kwa Daudi na Absalomu \ No newline at end of file