diff --git a/23/20.txt b/23/20.txt index 20007b5..3c992a4 100644 --- a/23/20.txt +++ b/23/20.txt @@ -1 +1 @@ -\v 20 Benaya kutoka Kabseeli mwana wa Yehoyada; alikuwa mtu hodari aliyefanya matendo makuu. Aliwauwa wana wawili wa Arieli wa Moabu. Pia alishuka shimoni na kuuwa simba wakati wa theruji. \v 21 Na alimwua Mmisri aliyekuwa mtu mnene sana. Mmisri alikuwa na mkuki mkononi, lakini Benaya alipigana naye kwa fimbo tu. Aliuchukua mkuki mkononi mwa Mmisri na kisha kumwua nao. \ No newline at end of file +\v 20 Benaya kutoka Kabseeli mwana wa Yehoyada; alikuwa mtu hodari aliyefanya matendo makuu. Aliwauwa wana wawili wa Arieli wa Moabu. Pia alishuka shimoni na kuuwa simba wakati wa theruji. \v 21 Na alimuua Mmisri aliyekuwa mtu mnene sana. Mmisri alikuwa na mkuki mkononi, lakini Benaya alipigana naye kwa fimbo tu. Aliuchukua mkuki mkononi mwa Mmisri na kisha kumwua nao. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 9c8aaa1..a69fa19 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -346,6 +346,7 @@ "23-09", "23-11", "23-13", - "23-15" + "23-15", + "23-18" ] } \ No newline at end of file