diff --git a/19/31.txt b/19/31.txt index 1af96a9..c8d0b52 100644 --- a/19/31.txt +++ b/19/31.txt @@ -1 +1 @@ -\v 31 Kisha Berzilai Mgileadi akashuka kutoka Rogelimu ili avuke Yordani pamoja na mfalme, naye akamsaidia mfalme kuuvuka Yordani. \v 32 Basi Berzilai alikuwa mzee sana mwenye umri wa miaka themanini. Alikuwa amemsaidia mfalme kwa mahitaji alipokuwako Mahanaimu kwani alikuwa na mali nyingi. \v 33 Mfalme akamwambia Berzilai, njoo pamoja nami, nami nitaandaa kwa ajili yako huko Yerusalemu." \ No newline at end of file +\v 31 Kisha Berzilai Mgileadi akashuka kutoka Rogelimu ili avuke Yordani pamoja na mfalme, naye akamsaidia mfalme kuuvuka Yordani. \v 32 Basi Berzilai alikuwa mzee sana mwenye umri wa miaka themanini. Alikuwa amemsaidia mfalme kwa mahitaji alipokuwako Mahanaimu kwani alikuwa na mali nyingi. \v 33 Mfalme akamwambia Berzilai, njoo pamoja nami, nami nitakupa riziki ukae nami huko Yerusalemu." \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 3bc5a20..73d3e5d 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -281,6 +281,7 @@ "19-21", "19-24", "19-26", - "19-29" + "19-29", + "19-31" ] } \ No newline at end of file