Fri Oct 14 2022 11:28:14 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-14 11:28:15 +03:00
parent a6c4a4529c
commit 787e812351
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Akaniuliza, 'Wewe ni nani?' Nikamjibu, 'Mimi ni Mwamaleki,' \v 9 Akaniambia, Tafadhali simama juu yangu uniue, kwa kuwa shida kubwa imenipata, lakini uhai ungalimo ndani yangu.' \v 10 Hivyo nilisimama juu yake nikamuuwa, kwa maana nilijua kwamba asingeweza kuishi baada ya kuwa ameanguka. Ndipo nikachukua taji iliyokuwa juu ya kichwa chake na kikuku kilichokuwa mkononi mwake, na nimevileta hapa kwako, bwana wangu."
\v 8 Akaniuliza, 'Wewe ni nani?' Nikamjibu, 'Mimi ni Mwamaleki,' \v 9 Akaniambia, Tafadhali simama juu yangu uniue, kwa kuwa shida kubwa imenipata, lakini uhai ungalimo ndani yangu.' \v 10 Hivyo nilisimama juu yake nikamuua, kwa maana nilijua kwamba asingeweza kuishi baada ya kuwa ameanguka. Ndipo nikachukua taji iliyokuwa juu ya kichwa chake na kikuku kilichokuwa mkononi mwake, na nimevileta hapa kwako, bwana wangu."