Wed Oct 19 2022 09:03:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 09:03:10 +03:00
parent c871b1a538
commit 66c5472139
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 27 Absalomu akamsihi Daudi, hivyo akamruhusu Amnoni na wana wengine wa mfalme kwenda naye. \v 28 Absalomu akawaamuru watumishi wake kusema, "Sikilizeni kwa makini. Amnoni atakapokuwa amelewa mvinyo, na nitakapowaambia, 'Mpigeni Amnoni,' msiogope muueni. Je siyo mimi niliyewamru? Mwe jasiri na hodari." \v 29 Hivyo watumishi wa Absalome wakamtendea Amnoni kama walivyoamriwa. Kisha wana wote wa mfalme wakainuka na kila mmoja akapanda nyumbu wake akakimbia.
\v 27 Absalomu akamsihi Daudi, hivyo akamruhusu Amnoni na wana wengine wa mfalme kwenda naye. \v 28 Absalomu akawaamuru watumishi wake kusema, "Sikilizeni kwa makini. Amnoni atakapokuwa amelewa mvinyo, na nitakapowaambia, 'Mpigeni Amnoni,' msiogope muueni. Je siyo mimi niliyewaamuru? Mwe jasiri na hodari." \v 29 Hivyo watumishi wa Absalomu wakamtendea Amnoni kama walivyoamriwa. Kisha wana wote wa mfalme wakainuka na kila mmoja akapanda nyumbu wake akakimbia.