Tue Oct 18 2022 12:17:34 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-18 12:17:35 +03:00
parent e06e812731
commit 5f43b324f8
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 8 Hata ikawa Abneri akakasirika sana kutokana na maneno ya Ishboshethi naye akasema, "Je mimi ni kichwa cha mbwa wa Yuda? Ninaonyesha uaminifu kwa nyumba ya Sauli, baba yako, kwa jamaa yake, na rafiki zake, kwa kutokukuweka katika mkono wa Daudi. Na bado leo unanishutumu kuhusu huyu mwanamke.
\v 8 Hata ikawa Abneri akakasirika sana kutokana na maneno ya Ishboshethi naye akasema, "Je mimi ni kichwa cha mbwa wa Yuda? Ninaonyesha uaminifu kwa nyumba ya Sauli, baba yako, kwa jamaa yake, na rafiki zake, kwa kutokukuweka katika mkono wa Daudi. Na bado leo unanishtaki kwa uovu kuhusu huyu mwanamke.

View File

@ -68,6 +68,7 @@
"03-01",
"03-02",
"03-04",
"03-06"
"03-06",
"03-08"
]
}