diff --git a/02/06.txt b/02/06.txt index 17de685..8f1d80b 100644 --- a/02/06.txt +++ b/02/06.txt @@ -1 +1 @@ -\v 6 Sasa Yahwe awadhihirishie utiifu na uaminifu wa kiagano. Nami pia nitawaonyesha wema kwa sababu ya yale mliyoyafanya. \v 7 Sasa basi, mikono yenu itiwe nguvu; mwe jasiri kwa maana Sauli bwana wenu amekufa, na nyumba yote ya Yuda imenitia mafuta niwe mfalime wao. \ No newline at end of file +\v 6 Sasa Yahwe awadhihirishie utiifu na uaminifu wa kiagano. Nami pia nitawaonyesha wema kwa sababu ya yale mliyoyafanya. \v 7 Sasa basi, mikono yenu itiwe nguvu; mwe jasiri kwa maana Sauli bwana wenu amekufa, na nyumba yote ya Yuda imenitia mafuta niwe mfalme wao. \ No newline at end of file