Wed Oct 19 2022 12:17:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 12:17:48 +03:00
parent 44643fe21e
commit 583b71c070
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Lakini Itai akamjibu mfalme na kusema, "Kama Yahwe aishivyo na kama bwana wangu mfalme aishivyo, kwa hakika mahali popote bwana wangu mfalme aendako, mtumishi wako pia ndipo atakapokwenda, kwamba ni maisha au kifo." \v 22 Hivyo Daudi akamwambia Itai, haya tangulia uende pamoja nasi." Hivyo Itai Mgiti akaenda pamoja na mfalme, pamoja na watu wake wote na familia zao zote. \v 23 Nchi yote ikalia kwa sauti kama watu walivyokuwa wakivuka Bonde la Kidroni, na mfalme naye pia akavuka. Watu wote wakasafiri kuelekea nyikani.
\v 21 Lakini Itai akamjibu mfalme na kusema, "Kama Yahwe aishivyo na kama bwana wangu mfalme aishivyo, kwa hakika mahali popote bwana wangu mfalme aendako, mtumishi wako pia ndipo atakapokwenda, kwamba ni maisha au kifo." \v 22 Hivyo Daudi akamwambia Itai, haya tangulia uende pamoja nasi." Hivyo Itai Mgiti akaenda pamoja na mfalme, pamoja na watu wake wote na familia zao zote. \v 23 Nchi yote ikalia kwa sauti kama watu walivyokuwa wakivuka Bonde la Kidroni, na pia mfalme naye akivuka. Watu wote wakasafiri kuelekea nyikani.

View File

@ -220,6 +220,7 @@
"15-11",
"15-13",
"15-16",
"15-19"
"15-19",
"15-21"
]
}