Wed Oct 19 2022 10:40:01 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 10:40:01 +03:00
parent 11a07b81c0
commit 574de63539
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 12 Kisha mwanamke akasema, "Tafadhali acha mtumishi wako anene neno moja zaidi kwa bwana wangu mfalme." Akasema, "Sema." \v 13 Hivyo mwanamke akasema, "Kwa nini basi umetenda kwa hila dhidi ya watu Mungu? Maana kwa kusema hivi, mfalme ni kama mtu mwenye hatia, kwa kuwa mfalme hamjamrudisha tena mwanaye aliyeondoka. \v 14 Kwa maana sisi sote tutakufa, kwa kuwa tu kama maji yamwagwayo juu ya ardhi na kwamba hayawezi kukusanywa tena. Lakini Mungu hatachukua uhai; badala yake, utafuta njia kwa walio mbali kurejeshwa.
\v 12 Kisha mwanamke akasema, "Tafadhali acha mtumishi wako anene neno moja zaidi kwa bwana wangu mfalme." Akasema, "Sema." \v 13 Hivyo mwanamke akasema, "Kwa nini basi umetenda kwa hila dhidi ya watu wa Mungu? Maana kwa kusema hivi, mfalme ni kama mtu mwenye hatia, kwa kuwa mfalme hamjamrudisha tena mwanaye aliyeondoka. \v 14 Kwa maana sisi sote tutakufa, kwa kuwa tu kama maji yamwagwayo juu ya ardhi na kwamba hayawezi kukusanywa tena. Lakini Mungu hatachukua uhai; badala yake, utafuta njia kwa walio mbali kurejeshwa.

View File

@ -201,6 +201,7 @@
"14-04",
"14-07",
"14-08",
"14-10"
"14-10",
"14-12"
]
}