Wed Oct 19 2022 12:01:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 12:01:48 +03:00
parent 79d809b9d0
commit 489b5afb28
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 11 Watu mia mbili waliokuwa wamealikwa kutoka Yerusalemu wakaenda na Absalomu. Wakaenda katika ujinga wao bila kujua Absalomu alichokipanga. \v 12 Wakati Absalomu akitoa dhabihu, alituma watu kwa Ahithofeli katika mji wake huko Gilo. Yeye alikuwa mshauri wa Daudi. Uaini wa Absalomu ukawa na nguvu kwa kuwa watu waliomfuata waliendelea kuongezeka.
\v 11 Watu mia mbili waliokuwa wamealikwa kutoka Yerusalemu wakaenda na Absalomu. Wakaenda katika ujinga wao bila kujua Absalomu alichokipanga. \v 12 Wakati Absalomu akitoa dhabihu, alituma watu kwa Ahithofeli katika mji wake huko Gilo. Yeye alikuwa mshauri wa Daudi. Fitina za Absalomu zikawa na nguvu kwa kuwa watu waliomfuata waliendelea kuongezeka.