Wed Oct 19 2022 07:31:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-19 07:31:10 +03:00
parent 10e5fc1db7
commit 45e1483431
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Siku moja mgeni akaja kwa tajiri, lakini tajiri hakuwa tayari kuchukua mnyama kutoka katika kundi lake la ng'ombe au kundi la kondoo ili kumuandalia chakula. Badala yake alichukua mwanakondoo wa maskini na akampika kwa ajili ya mgeni wake. \v 5 Hasira ya Daudi ikawaka dhidi ya tajiri yule, naye akamwambia Nathani kwa hasira, "Kama Yahwe aishivyo, mtu aliyelitenda jambo hili anastahili kufa. \v 6 Ni lazima alipe mwanakondoo mara nne zaidi kwa ajili ya kile alichokifanya, na kwa sababu hakuwa na huruma kwa mtu maskini.
\v 4 Siku moja mgeni akaja kwa tajiri, lakini tajiri hakuwa tayari kuchukua mnyama kutoka katika kundi lake la ng'ombe au kundi la kondoo ili kumuandalia chakula. Badala yake alichukua mwanakondoo wa maskini na akampika kwa ajili ya mgeni wake." \v 5 Hasira ya Daudi ikawaka dhidi ya tajiri yule, naye akamwambia Nathani kwa hasira, "Kama Yahwe aishivyo, mtu aliyelitenda jambo hili anastahili kufa. \v 6 Ni lazima alipe mwanakondoo mara nne zaidi kwa ajili ya kile alichokifanya, na kwa sababu hakuwa na huruma kwa mtu maskini."

View File

@ -166,6 +166,7 @@
"11-24",
"11-26",
"12-title",
"12-01"
"12-01",
"12-04"
]
}