Thu Oct 20 2022 11:07:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 11:07:28 +03:00
parent 05714ceed9
commit 353819de17
3 changed files with 4 additions and 3 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Sasa basi, inuka na uende kuongea na askari wako kwa upole, kwani nakuapia kwa Yahwe, ikiwa hutakwenda hakuna mtu hata mmoja atakayesalia nawe usiku huu. Na hii itakuwa vibaya sana kwako kuliko madhara yoyote yaliyowai kukupata tangu ujana wako." \v 8 Hivyo mfalme akainuka na kuketi kati ya lango la mji, watu wote wakaambiwa, "Tazama, mfalme ameketi kati ya lango." Ndipo watu wote wakaja mbele za mfalme. Walakini, Israeli walikimbia kila mtu nyumbani kwake.
\v 7 Sasa basi, inuka na uende kuongea na askari wako kwa upole, kwani nakuapia kwa Yahwe, ikiwa hutakwenda hakuna mtu hata mmoja atakayesalia nawe usiku huu. Na hii itakuwa vibaya sana kwako kuliko madhara yoyote yaliyowai kukupata tangu ujana wako." \v 8 Hivyo mfalme akainuka na kuketi kati ya lango la mji, watu wote wakaambiwa, "Tazama, mfalme ameketi kati ya lango." Ndipo watu wote wakaja mbele za mfalme. Walakini, Israeli walikuwa wamekimbia kila mtu hemani mwake.

View File

@ -1 +1 @@
\v 9 Watu wote wakahojiana wao kwa wao katika jamaa zote za Israeli kusema, "Mfalme alituokoa na mkono wa adui zetu. Alitukomboa na mkono wa Wafilisti lakini sasa ameikimbia nchi mbele ya Absalomu. \v 10 Na Absalomu tuliyemtia mafuta juu yetu amekufa vitani. Hivyo kwa nini hatuongei juu ya kumrudisha mfalme tena?"
\v 9 Watu wote wakahojiana wao kwa wao katika jamaa zote za Israeli wakisema, "Mfalme alituokoa na mkono wa adui zetu. Alitukomboa na mkono wa Wafilisti lakini sasa ameikimbia nchi mbele ya Absalomu. \v 10 Na Absalomu tuliyemtia mafuta juu yetu amekufa vitani. Hivyo kwa nini hatuongei juu ya kumrudisha mfalme tena?"

View File

@ -271,6 +271,7 @@
"19-title",
"19-01",
"19-03",
"19-05"
"19-05",
"19-07"
]
}