From 1723ae4ded703065b1f0d725a106d92dbde1fb60 Mon Sep 17 00:00:00 2001 From: nicholuskombo Date: Thu, 20 Oct 2022 14:12:12 +0300 Subject: [PATCH] Thu Oct 20 2022 14:12:11 GMT+0300 (East Africa Time) --- 24/24.txt | 2 +- manifest.json | 3 ++- 2 files changed, 3 insertions(+), 2 deletions(-) diff --git a/24/24.txt b/24/24.txt index 7d82325..32980a8 100644 --- a/24/24.txt +++ b/24/24.txt @@ -1 +1 @@ -\v 24 Mfalme akamwambia Arauna, "Hapana, nahimiza kukinunua kwa thamani yake. Sitatoa kama sadaka ya kuteketezwa kwa Yahwe chochote hakijanigharimu kitu." Hivyo Daudi akakinunua kiwanja cha kupuria na ng'ombe kwa shekeli hamsini za fedha. \v 25 Daudi akajenga madhabahu kwa Yahwe pale na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Hivyo wakamsihi Yahwe kwa niaba ya nchi, hivyo akaizuia tauni katika katika Israeli yote. \ No newline at end of file +\v 24 Mfalme akamwambia Arauna, "Hapana, nahimiza kukinunua kwa thamani yake. Sitatoa kama sadaka ya kuteketezwa kwa Yahwe chochote ambacho hakijanigharimu kitu." Hivyo Daudi akakinunua kiwanja cha kupuria na ng'ombe kwa shekeli hamsini za fedha. \v 25 Daudi akajenga madhabahu kwa Yahwe pale na kutoa juu yake sadaka za kuteketezwa na sadaka za amani. Hivyo wakamsihi Yahwe kwa niaba ya nchi, hivyo akaizuia tauni katika Israeli yote. \ No newline at end of file diff --git a/manifest.json b/manifest.json index 666fe2a..6636533 100644 --- a/manifest.json +++ b/manifest.json @@ -365,6 +365,7 @@ "24-15", "24-17", "24-18", - "24-21" + "24-21", + "24-24" ] } \ No newline at end of file