Thu Oct 20 2022 09:53:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 09:53:28 +03:00
parent 6a6728e96e
commit 15df0484c7
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 5 Kisha Absalomu akasema, "Sasa mwiteni pia Hushai Mwarki ili tusikie yeye pia anasemavyo." \v 6 Hushai alipofika kwa Absalomu, Absalomu akamweleza kile ambacho Ahithofeli alikuwa amesema na kisha akamwuliza Hushai, "Je tufanye alivyosema Ahithofeli? Ikiwa hapana, tueleze kile unachoshauri." \v 7 Hivyo Hushai akamwambia Absalomu, "Ushauri aliotoa Ahithofeli siyo mzuri kwa wakati huu."
\v 5 Kisha Absalomu akasema, "Sasa mwiteni pia Hushai Mwarki ili tusikie yeye pia anavyosema." \v 6 Hushai alipofika kwa Absalomu, Absalomu akamweleza kile ambacho Ahithofeli alikuwa amesema na kisha akamwuliza Hushai, "Je tufanye alivyosema Ahithofeli? Ikiwa hapana, tueleze kile unachoshauri." \v 7 Hivyo Hushai akamwambia Absalomu, "Ushauri aliotoa Ahithofeli siyo mzuri kwa wakati huu."