Thu Oct 20 2022 10:17:28 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 10:17:28 +03:00
parent a7a122a7fd
commit 0993bd12b9
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Yonathani na Ahimaasi walikuwako katika chemichemi za En Rogeli. Hivyo kijakazi mmoja alikuwa akienda na kuwapasha habari waliyopaswa kuifahamu, ili kwamba wasihatarishe maisha yao kwa kuonekana wakiingia mjini. Ujumbe ulipofika ndipo walikuwa wanaenda kumpasha habari mfalme Daudi. \v 18 Lakini kijana mmoja akawaoni mara akamwambia Absalomu. Hivyo Yonathani na Ahimaasi wakaenda kwa haraka na wakaingia katika nyumba ya mtu mmoja huko Bahurimu, aliyekuwa na kisima katika ua wake wakaingia humo.
\v 17 Yonathani na Ahimaasi walikuwako katika chemichemi za En Rogeli. Hivyo kijakazi mmoja alikuwa akienda na kuwapasha habari waliyopaswa kuifahamu, ili kwamba wasihatarishe maisha yao kwa kuonekana wakiingia mjini. Ujumbe ulipofika ndipo walikuwa wanaenda kumpasha habari mfalme Daudi. \v 18 Lakini kijana mmoja akawaona wakati huo na akamwambia Absalomu. Hivyo Yonathani na Ahimaasi wakaenda kwa haraka na wakaingia katika nyumba ya mtu mmoja huko Bahurimu, aliyekuwa na kisima katika ua wake wakaingia humo.