Thu Oct 20 2022 12:14:10 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-20 12:14:11 +03:00
parent 0d621e95f1
commit 06717b06aa
2 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Ndipo Yoabu alipojibu na kusema, "Iwe mbali, iwe mbali nami, hata nikameze au kuharibu. \v 21 Hiyo si kweli. Lakini mtu kutoka katika nchi ya milima ya Efraimu, aitwaye Sheba mwana wa Bikri, ameinua mkono wake kinyume cha mfalme, kinyume cha Daudi. Mtoeni yeye nami nitauacha mji." Mwanamke akamwambia Yoabu, "Utarushiwa kichwa chake kutoka juu ya ukuta." \v 22 Kisha mwanamke akawaendea watu wote wa mji kwa hekima yake. Wakakiondoa kichwa cha Sheba mwana wa Bikri na kumrushia Yoabu. Ndipo alipopiga tarumbeta na watu wa Yoabu wakauacha mji kila mtu nyumbani kwake. Na Yoabu akarejea Yerusalemu kwa mfalme.
\v 20 Ndipo Yoabu alipojibu na kusema, "Iwe mbali, iwe mbali nami, hata nikameze au kuharibu. \v 21 Hiyo si kweli. Lakini mtu kutoka katika nchi ya milima ya Efraimu, aitwaye Sheba mwana wa Bikri, ameinua mkono wake kinyume cha mfalme, kinyume cha Daudi. Mtoeni yeye nami nitauacha mji." Mwanamke akamwambia Yoabu, "Utarushiwa kichwa chake kutoka juu ya ukuta." \v 22 Kisha mwanamke akawaendea watu wote wa mji kwa hekima yake. Wakakiondoa kichwa cha Sheba mwana wa Bikri na kumrushia Yoabu. Ndipo alipopiga tarumbeta na watu wa Yoabu wakauacha mji, kila mtu hemani mwake. Na Yoabu akarejea Yerusalemu kwa mfalme.

View File

@ -297,6 +297,7 @@
"20-09",
"20-11",
"20-14",
"20-17"
"20-17",
"20-20"
]
}