Tue Oct 18 2022 17:57:44 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-18 17:57:45 +03:00
parent 79f1f7de46
commit 03501f47f6
2 changed files with 4 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\c 10 \v 1 Ikawa baadaye mfalme wa watu wa Amoni akafa, na Hanuni mwanaye akawa mfalme mahali pake. \v 2 Daudi akasema, "Nitamtendea wema Hanuni mwana wa Nahashi, kwa kuwa baba yake alinitendea wema." Hivyo Daudi akatuma watumishi wake kumfariji Hanuni kwa habari ya baba yake. Watumishi wake wakaingia katika nchi ya watu wa Amoni. \v 3 Lakini viongozi wa watu wa Amoni wakamwambia Hanuni bwana wao, "Je unathani kwa hakika Daudi anamheshimu baba yako hata ametuma watu kukutia moyo? Daudi hajawatuma watumishi wake kwako ili kuuangalia mji, kuupeleleza, ili kuuangamiza?
\c 10 \v 1 Ikawa baadaye mfalme wa watu wa Amoni akafa, na Hanuni mwanaye akawa mfalme mahali pake. \v 2 Daudi akasema, "Nitamtendea wema Hanuni mwana wa Nahashi, kwa kuwa baba yake alinitendea wema." Hivyo Daudi akatuma watumishi wake kumfariji Hanuni kwa habari ya baba yake. Watumishi wake wakaingia katika nchi ya watu wa Amoni. \v 3 Lakini viongozi wa watu wa Amoni wakamwambia Hanuni bwana wao, "Je unadhani kwa hakika Daudi anamheshimu baba yako hata ametuma watu kukutia moyo? Daudi hajawatuma watumishi wake kwako ili kuuangalia mji, kuupeleleza, ili kuuangamiza?

View File

@ -142,6 +142,8 @@
"09-07",
"09-09",
"09-11",
"10-title"
"10-title",
"10-01",
"10-04"
]
}