Tue Oct 18 2022 14:05:35 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
tsDesktop 2022-10-18 14:05:35 +03:00
parent c18a03633f
commit 02e75d433f
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 22 Kisha Wafilisiti wakaja kwa mara nyingine tena na kujieneza zaidi katika bonde la Mrefai. \v 23 Hivyo Daudi akatafuta msaada tena kutoka kwa Yahweh, naye Yahweh akamwambia, "Usiwashambulie kwa mbele, lakini uwazunguke kwa nyuma na uwaendee kupitia miti ya miforosadi.
\v 22 Kisha Wafilisti wakaja kwa mara nyingine tena na kujieneza zaidi katika bonde la Mrefai. \v 23 Hivyo Daudi akatafuta msaada tena kutoka kwa Yahweh, naye Yahweh akamwambia, "Usiwashambulie kwa mbele, lakini uwazunguke kwa nyuma na uwaendee kupitia miti ya miforosadi.

View File

@ -1 +1 @@
\v 24 Wakati utakaposikia sauti za mwendo katika upepo uvumao juu ya miti ya miforosadi, hapo ushambulie kwa nguvu. Fanya hivi kwa kuwa Yahwe atatangulia mbele yako kulishambulia jeshi la Wafilisiti." \v 25 Hivyo Daudi akafanya kama Yahwe alivyomwamuru. Akawaua wafilisti njiani mwote toka Geba hadi Gezeri.
\v 24 Wakati utakaposikia sauti za mwendo katika upepo uvumao juu ya miti ya miforosadi, hapo ushambulie kwa nguvu. Fanya hivi kwa kuwa Yahwe atatangulia mbele yako kulishambulia jeshi la Wafilisti." \v 25 Hivyo Daudi akafanya kama Yahwe alivyomwamuru. Akawaua wafilisti njiani mwote toka Geba hadi Gezeri.

View File

@ -93,6 +93,7 @@
"05-title",
"05-01",
"05-03",
"05-06",
"05-08",
"05-11",
"05-13",