sw_2sa_text_reg/11/04.txt

1 line
246 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 4 Daudi akatuma wajumbe nao wakamchukua; akaja kwake, na akalala naye(kwani ndio alikuwa amejitakasa kutoka uchafu wake). Kisha akarudi nyumbani kwake. \v 5 Mwanamke akawa mjamzito, naye akatuma na kumwambia Daudi; akasema, "mimi ni mjamzito."