sw_2sa_text_reg/19/40.txt

1 line
342 B
Plaintext
Raw Normal View History

\v 40 Hivyo mfalme akavuka kuelekea Gilgali, na Kimhamu akavuka pamoja naye. Jeshi la Yuda lote na nusu ya jeshi la Israeli likamleta mfalme. \v 41 Mara watu wa Israeli wote wakaanza kuja kwa mfalme na kumwambia, "Kwa nini ndugu zetu, watu wa Yuda, wamemwiba na kumleta mfalme na familia yake juu ya Yordani na watu wote wa Daudi pamoja naye?