Thu Oct 13 2022 06:33:47 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-13 06:33:48 +03:00
parent 39dcf4e1d1
commit e415a671aa
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 7 Sanamu ya kuchongwa ya Ashera ambayo aliitengeneza, akaiweka kwenye nyumba ya Yahwe. Nyumba hii ndiyo ambayo Yahwe alimwambia Daudi na Sulemani mwanawe; alisema: "Ni nyumba hii na katika Yerusalemu, ambayo nimeichagua kutoka makabila yote ya Isaraeli, ambako nitaliweka jina langu milele. \v 8 Sintofanya miguu ya Israeli kushindwa tena nje ya nchi ambayo niliwapa babu zao, kama tu watakuwa makini kutii yale yote niliyowaamuru, na kufuata sheria zote ambazo mtumishi wangu Musa aliwaamuru." \v 9 Lakini watu hawakusikia, na Manase akawaongoza kufanya maovu zaidi kuliko yale ya mataifa ambayo Yahwe aliyaharibu mbele ya watu wa Israeli.
\v 7 Sanamu ya kuchongwa ya Ashera ambayo aliitengeneza, akaiweka kwenye nyumba ya Yahwe. Nyumba hii ndiyo ambayo Yahwe alimwambia Daudi na Sulemani mwanawe; alisema: "Ni nyumba hii na katika Yerusalemu, ambayo nimeichagua kutoka makabila yote ya Israeli, ambako nitaliweka jina langu milele. \v 8 Sintofanya miguu ya Israeli kushindwa tena nje ya nchi ambayo niliwapa babu zao, kama tu watakuwa makini kutii yale yote niliyowaamuru, na kufuata sheria zote ambazo mtumishi wangu Musa aliwaamuru." \v 9 Lakini watu hawakusikia, na Manase akawaongoza kufanya maovu zaidi kuliko yale ya mataifa ambayo Yahwe aliyaharibu mbele ya watu wa Israeli.