Wed Oct 12 2022 15:39:09 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-10-12 15:39:10 +03:00
parent 29fce7a236
commit c6e058fe1b
3 changed files with 3 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 28 Ahazia akaenda pamoja na Yoramu mwana wa Ahabu, kupigana dhidi ya Hazaeli, mfalme wa Shamu, katika Ramath Geleadi. Washami wakamjeruhi Yoramu. \v 29 Mfalme Yoramu akarudi ili auguzwe huko Yezreeli kwenye yale majeraha ambayo Washami walimpatia huko Rama. Wakati alipopigana dhidi ya Hazaeli mfalme wa Shamu. Hivyo Ahazi mwana wa Yehoramu, mfalme Yuda, akashuka kwa Yezreeli kumuona Yoramu mwana wa Ahabu, kwa sababu Yoramu alikuwa amejeruhiwa.
\v 28 Ahazia akaenda pamoja na Yoramu mwana wa Ahabu, kupigana dhidi ya Hazaeli, mfalme wa Shamu, katika Ramoth Geleadi. Washami wakamjeruhi Yoramu. \v 29 Mfalme Yoramu akarudi ili auguzwe huko Yezreeli kwenye yale majeraha ambayo Washami walimpatia huko Rama. Wakati alipopigana dhidi ya Hazaeli mfalme wa Shamu. Hivyo Ahazi mwana wa Yehoramu, mfalme Yuda, akashuka kwa Yezreeli kumuona Yoramu mwana wa Ahabu, kwa sababu Yoramu alikuwa amejeruhiwa.

View File

@ -1 +1 @@
\v 4 Basi yule kijana, yule nabii kijana, akaenda Romoth Geliadi. \v 5 Wakati alipofika, kumbe, wale manahodha wa lile jeshi walikuwa wamekaa. Hivyo yule nabii kijana akasema, "Nimekuja mara moja na neno kwako, nahodha." Yehu akajibu, "kwa yupi katika sisi?" Yule nabii kijana akajibu, "Kwako nahodha." \v 6 Basi Yehu akainuka na kwenda kwenye nyumba, na yule nabii akammiminia mafuta kwenye kichwa chake na kumwambia Yehu, "Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema hivi: 'Nimekumiminia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa Yahwe, juu ya Isaraeli.
\v 4 Basi yule kijana, yule nabii kijana, akaenda Ramoth Geliadi. \v 5 Wakati alipofika, kumbe, wale manahodha wa lile jeshi walikuwa wamekaa. Hivyo yule nabii kijana akasema, "Nimekuja mara moja na neno kwako, nahodha." Yehu akajibu, "kwa yupi katika sisi?" Yule nabii kijana akajibu, "Kwako nahodha." \v 6 Basi Yehu akainuka na kwenda kwenye nyumba, na yule nabii akammiminia mafuta kwenye kichwa chake na kumwambia Yehu, "Yahwe, Mungu wa Israeli, anasema hivi: 'Nimekumiminia mafuta uwe mfalme juu ya watu wa Yahwe, juu ya Isaraeli.

View File

@ -147,6 +147,7 @@
"08-28",
"09-title",
"09-01",
"09-04",
"09-07",
"09-09",
"09-11",