Tue Aug 02 2022 07:39:03 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-08-02 07:39:04 +03:00
parent 14c1bf8a20
commit 5e5de0e19e
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Kwa sababu wamenitelekeza na kufukiza ubani kwa miungu mingine, hivyo basi wanaweza kunichochea hasira pamoja na matendo yote waliyoyafanya, kwa hiyo hasira yangu ilikuwa inawaka dhidi ya hii sehemu, na haitazimika."' \v 18 Lakini kwa mfalme wa Yuda, aliye watuma kuuliza mapenzi ya Yahwe, hivi ndivyo mtakavyo mwambia: "Yahwe, Mungu wa Israeli asema hivi: Kuhusu yale maneno uliyoyasikia, \v 19 kwa sababu moyo wako ulikuwa mlaini, na kwa sababu umejinyenyekesha mwenyewe mbele za Yahwe, wakati uliposikia nilichokisema dhidi ya hii sehemu na wenyeji wake, kwamba wanaweza kuwa wakiwa na laana, na kwasaabu ulizozirarua nguo zako na kulia mbele yangu, Nami pia nimekusikia-hivi ndivyo Yahwe asemavyo.
\v 17 Kwa sababu wamenitelekeza na kufukiza ubani kwa miungu mingine, hivyo basi wanaweza kunichochea hasira pamoja na matendo yote waliyoyafanya, kwa hiyo hasira yangu ilikuwa inawaka dhidi ya hii sehemu, na haitazimika."' \v 18 Lakini kwa mfalme wa Yuda, aliye watuma kuuliza mapenzi ya Yahwe, hivi ndivyo mtakavyo mwambia: "Yahwe, Mungu wa Israeli asema hivi: Kuhusu yale maneno uliyoyasikia, \v 19 kwa sababu moyo wako ulikuwa mlaini, na kwa sababu umejinyenyekesha mwenyewe mbele za Yahwe, wakati uliposikia nilichokisema dhidi ya hii sehemu na wenyeji wake, kwamba wanaweza kuwa wakiwa na laana, na kwa sababu ulizozirarua nguo zako na kulia mbele yangu, Nami pia nimekusikia hivi ndivyo Yahwe asemavyo.