Mon Sep 26 2022 16:30:22 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-09-26 16:30:22 +03:00
parent cd1cc02163
commit 5c68562d27
1 changed files with 1 additions and 1 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 17 Elisha akasema, "Fungua dirisha upande wa mashariki," basi akalifungua. Kisha Elisha akasema, "Funga", na akafunga. Elisha akasema, "Huu ndiyo mshale wa ushindi wa Yahwe, huu mshale wa ushindi juu ya Shamu, kwa kuwa utawapiga Washami katika Afeki hadi utakapowaangamiza." \v 18 Kisha Elisha aksema, "Chukua mishale," basi Yoashi akaichukua. Akamwambia mfalme wa Israeli, "Piga chini pamoja nao," na akapiga chini mara tatu, kisha akaacha. \v 19 Lakini mtu wa Mungu alikuwa na hasira naye na akasema, "Ungelipiga chini mara tano au mara sita. Ndipo ungeipiga Shamu hadi kuiangamiza, lakini sasa utaipiga Shamu mara tatu tu."
\v 17 Elisha akasema, "Fungua dirisha upande wa mashariki," basi akalifungua. Kisha Elisha akasema, "Funga", na akafunga. Elisha akasema, "Huu ndiyo mshale wa ushindi wa Yahwe, huu mshale wa ushindi juu ya Shamu, kwa kuwa utawapiga Washami katika Afeki hadi utakapowaangamiza." \v 18 Kisha Elisha akasema, "Chukua mishale," basi Yoashi akaichukua. Akamwambia mfalme wa Israeli, "Piga chini pamoja nao," na akapiga chini mara tatu, kisha akaacha. \v 19 Lakini mtu wa Mungu alikuwa na hasira naye na akasema, "Ungelipiga chini mara tano au mara sita. Ndipo ungeipiga Shamu hadi kuiangamiza, lakini sasa utaipiga Shamu mara tatu tu."