Fri Jul 29 2022 07:25:56 GMT+0300 (East Africa Time)

This commit is contained in:
nicholuskombo 2022-07-29 07:25:57 +03:00
parent 614bd3fb43
commit 43573a6aea
2 changed files with 2 additions and 2 deletions

View File

@ -1 +1 @@
\v 20 Hivyo asubuhi karibia na mda wa kutoa sadaka ya kuteketeza, yakaja maji kutoka uelekeo wa Edomu; nchi ikajaa maji.
\v 20 Hivyo asubuhi karibia na muda wa kutoa sadaka ya kuteketeza, yakaja maji kutoka uelekeo wa Edomu; nchi ikajaa maji.

View File

@ -1 +1 @@
\v 21 Ndipo wakati Wamoabu wote waliposikia kwamba wafalme wamekuja kupigana dhidi yao, walikusanyika pamoja, wote waliotakiwa kubeba silaha, na wakasimama mpakani. \v 22 Walitembea asubuhi na mapema na jua likang'aa kwenye maji. Wakati Wamoabu walipoyaona yale maji yaliyowaelekea, yanaonekana mekundu kama damu. \v 23 Wakatamka kwa hasira, "Hii ni damu! Yamkini hao wafalme wameharibiwa, na wameuna wao kwa wao! Sasa basi, Moabu, ngoja tuende tukawateke nyara!"
\v 21 Ndipo wakati Wamoabu wote waliposikia kwamba wafalme wamekuja kupigana dhidi yao, walikusanyika pamoja, wote waliotakiwa kubeba silaha, na wakasimama mpakani. \v 22 Walitembea asubuhi na mapema na jua likang'aa kwenye maji. Wakati Wamoabu walipoyaona yale maji yaliyowaelekea, yanaonekana mekundu kama damu. \v 23 Wakatamka kwa hasira, "Hii ni damu! Yamkini hao wafalme wameharibiwa, na wameuana wao kwa wao! Sasa basi, Moabu, ngoja tuende tukawateke nyara!"