sw_2co_text_ulb/12/08.txt

1 line
480 B
Plaintext

\v 8 Mara tatu nilimsihi Bwana kuhusu hili, ili yeye kuondoa kutoka kwangu. \v 9 Naye akaniambia, "Neema yangu inatosha kwa ajili yako, kwa kuwa nguvu hufanywa kamili katika udhaifu. Hivyo, ningetamani zaidi kujivuna zaidi kuhusu udhaifu wangu, ili kwamba uwezo wa Kristo uweze kukaa juu yangu. \v 10 Kwa hiyo ninatosheka kwa ajili ya Kristo, katika udhaifu, katika matukano, katika shida, katika mateso, katika hali ya masikitiko. Kwa kuwa wakati nikiwa dhaifu, kisha nina nguvu.