sw_2co_text_ulb/12/03.txt

1 line
311 B
Plaintext

\v 3 Na ninajua kwamba mtu huyu---ikiwa katika mwili, au nje ya mwili, mimi sijui, Mungu anajua-- \v 4 alichukuliwa juu hadi paradiso na kusikia mambo matakatifu sana kwa mtu yeyote kuyasema. \v 5 Kwa niaba ya mtu kama huyo nitajivuna. lakini kwa niaba yangu mwenyewe sitajivuna. Isipokuwa kuhusu udhaifu wangu.