sw_2co_text_ulb/12/01.txt

1 line
311 B
Plaintext

\c 12 \v 1 Ni lazima nijivune, lakini hakuna kinachoongezwa na hilo. Bali nitaendelea kwenye maono na mafunuo kutoka kwa Bwana. \v 2 Namjua mtu mmoja katika Kristo ambaye miaka kumi na minne iliyopita ambaye ,ikiwa katika mwili, au nje ya mwili, mimi sijui, Mungu anajua, alinyakuliwa juu katika mbingu ya tatu.